ZAINAB AHITIMU SHULE YA MSINGI MZINGA

 Mkuu wa Shule ya Sekondari ya St. Maks akimkabidhi cheti Zainab Khamis wakati wa mahafali ya darasa la saba katika Shule ya Msingi ya Mzinga, Dar es Saaam leo.
                                                              Zainabu akiwa na cheti chake
 Zainab akivishwa shada la maua na mamake mzazi,Habiba Omari
                                     Zainab akikabidhiwa zawadi na kakake Mussa Khamis
                                                   Zainab akikabidhiwa zawadi na dadake, Rehema Mussa
                 Zainab akiwa katika picha ya pamoja na familia yake. (PICHA NA KHAMIS MUSSA)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*