BANGO PEKEE LILILOKUWEPO WAKATI JK AKIZINDUA UJENNZI WA BOMBA LA KUSAFIRISHIA GESI

Bango pekee lililokuwepo wakati Rais Jakaya Kikwete akizindua ujenzi wa bomba la kusafirisha gesi kutoka Mtwara na Lindi kwenda Dar es Salaam eneo la Kinyelezi. Katika gazeti moja linalotoka kila siku limetoa habari kuwa JK alakiwa kwa mabango wakati lililokuwepo ni hilo tu.Aliyeshika bango hilo kwa lengo la kufikisha malalamiko kwa rais, hakupata kashkashi yoyote kutoka kwenye vyombo vya usalama.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA