BARRICK YAPEWA TUZO NA PPF

Barrick yapewa tuzo na PPF -- Kampuni ya uchimbaji madini ya African Barrick Gold (ABG) kupitia mgodi wake wa dhahabu wa Bulyanhulu uliopo wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga imepewa tuzo ya mwaka 2012 na mfuko wa pensheni wa PPF baada ya kuibuka mshindi wa kwanza kwenye sekta ya madini kwa ulipaji mzuri wa michango ya wafanyakazi kwa muda. Kwenye picha ni Meneja Rasilimali Watu na Utawala wa ABG, Saimon Sanga, akiwa ameshika kikombe na cheti ambavyo ABG ilikabidhiwa na PPF hivi karibuni. PICHA/MPIGA PICHA WETU

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA