BIRTHDAY YA NEYMA MGONJA 'CHELSEA' YAFANA


Mwanahabari wa gazeti la Jambo Leo  Neyma Mgonja'Chelsea' (katikati) akikata keki ambayo iliyoandaliwa maalum kuadhimisha siku yske ya kuzaliwa leo kwenye Chumba cha Habari cha gazeti la Jambo Leo, katikati ya Jiji la Dar es Salaam.

Mfanyakazi mwenza, Joseph  Mabula akishuhudia wakati wa ukataji keki

                                                                  Neyma akimlisha keki Mabula
                                    Neyma akimlisha keki Rlizabeth Mkeleja
                       Peter Ambilikile akifurahia keki alipokuwa akilishwa na kimwana huyo
                                                               Grace Gurisha akilishwa keki
                                                      Neyma akimlisha keki Said Mwishehe
                                Mmiliki wa mtandao huu, Kamanda Richard Mwaikenda akilishwa pande la keki
 Mhariri Mkuu wa Jambo Leo, Anicetus Mwesa akilishwa keki
Sasa ni zamu ya dada Cloudia Kayombo



Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA