PICHA ZA JERYY SLAA AKIKABIDHI JEZI NA NG'OMBE

Meya wa Ilala Jerry Slaa akimkabidhi Jezi mshindi wa wa tatu, Zacharia Jonas  Naodha wa timu ya Ball Kipaji (kushoto) baada ya kutwaa ubingwa wa mashindano ya kusaka vipaji yaliyojulikana kama Diwani super weight Cup ya Kata ya Gongo la Mboto jijini Dar es Salaam 
 Meya wa Ilala Jerry Slaa akimkabidhi Mbuzi  mshindi wa pili  Naodha wa timu ya Soko Fc (kushoto) baada ya kutwaa ubingwa wa mashindano ya kusaka vipaji yaliyojulikana kama Diwani super weight Cup ya kata ya Gongola Mboto jijini Dar es Salaam
  Meya wa Ilala Jerry Slaa akimkabidhi ng’ombe Naodha wa timu ya Kaza Roho,Rajabu Akili (kushoto) baada ya kutwaa ubingwa wa mashindano ya kusaka vipaji yaliyojulikana kama Diwani super weight Cup ya kata y Gongola Mboto jijini Dar es Salaam

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA