Dk Mwinyi atembelea vituo vya uchunguzi na matibabu vinavyojengwa na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya

Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Hussein Mwinyi akionyeshwa ujenzi unavyoendelea wa Kituo cha Uchunguzi na Matibu cha Hospitali yaMkoa wa Dodoma na Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya
Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Seif Suleimani Rashid (katikati) akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya kabla ya Waziri wa Wizara hiyo kufika katika ukaguzi wa ujenzi wa Kituo cha Uchunguzi na Matibabu katika Hospitali ya Mkoa wa Dodoma

Mkurugenzi wa Fedha na Uwekezaji wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya, Deusdedit Rutazaa akitoa taarifa ya Fedha ya kuhusu mradi wa ujenzi unaoendelea wa Kituo cha Uchunguzi na Matibabu cha Hospitali ya Mkoa wa Dodoma

Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Hussein Mwinyi akizungumza muda mfupi baada ya kutembelea na kukagua ujenzi wa Kituo cha Uchunguzi na Matibabu cha Hospitali ya Mkoa wa Dodoma. Kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya,Ntukamazina



Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Hussein Mwinyi(katikati) akitoka kukagua ujenzi wa Kituo cha Kisasa cha Uchunguzi na Matibabu kinachojengwa na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya eneo la Chuo Kikuu cha Cha Dodoma

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA