DK MWINYI AZINDUA KITABU CHA AFYA YA KINYWA NA MENO

 Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Hussein Mwinyi akizindua kitabu cha mikakati ya afya ya kinywa na meno cha mwaka  2011-2017, wakati wa mkutano wa  mwaka wa Madaktari wa Meno Tanzania, Dar es Salaam jana. Kushoto ni Mganga Mkuu wa Meno wa wizara hiyo, Dk. Ahadiel Senkoro. (PICHA NA KHAMIS MUSSA)
 Daktari Bingwa na Meno ya Watoto Muhimbili na Rais wa Rais wa Chama cha Madaktari wa Meno Tanzania,Rachel Mhaville akiteta jambo na Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Hussein Mwinyi katika mkutano huo

Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Hussein Mwinyi AKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA MADAKTARI HAO.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA