FLORA KIMARO ATUNUKIWA 'NONDOS'

 Mkuu wa Idara ya Uuguzi wa Taasisis ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI), Flora Kimaro (kushoto) akipongezwa na mumewe Anderson Kimaro baada ya kutunukiwa stashahada ya juu ya sayansi na uuuguzi wakati wa mahafari ya 3 ya Chuo Kikuu cha St John, Dodoma mwishoni mwa wiki.(PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
                                                  Flora akipongezwa na mwanawe George
                                   Flora akipongezwa na mmoja wa wanawe wa kike
                                                       Ni furaha tupu siku hiyo
 Flora akiwa katika picha ya pmoja na familia yake
 Meneja wa kinywaji cha Redds cha Kampuni ya Bia Tanzania, Vick Kimaro (kushoto) ambaye ni mwanawe na Flora akiwa na ndungu zake
Flora akiwa katika picha ya pamoja na wanachuo wenzie aliomaliza nao chuo

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA