Halima: Nilinyoa nywele kuwaunga mkono wenye saratani


Alisema “Ninawaarika wananchi wenzangu kuungana nami katika kampeini ya kuchangia waathirika wa saratani. Wakati nilipokuwa kwenye semina nilipatwa na majonzi baada ya kuwaona wagonjwa walioathirika na saratani hivyo nikaamua kukata nywele zangu.”.

LAGOS, Nigeria

MWIGIZAJI wa kike wa Nollywood, Halima Abubakar amesema kwamba kwa sasa amechukua uamuzi wa kunyoa nywele zake zote kwa nia ya kuwaunga mkono wagon jwa walioathiriwa na maradhi ya saratani.

Akizungumzia sababu ya kunyoa nywele zake hizo kwa kupitia mtandao wa www.naijagists.com alisema kwamba ameamua kufanya hivyo kama sehemu ya mchango wake wa kuhangaikia kutafuta nywele kama wanavyohangaika wagonjwa wa saratani wa nchini hapa.

Alisema “Ninawaarika wananchi wenzangu kuungana nami katika kampeini ya kuchangia waathirika wa saratani. Wakati nilipokuwa kwenye semina nilipatwa na majonzi baada ya kuwaona wagonjwa walioathirika na saratani hivyo nikaamua kuka

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA