Afisa Biashara wa Vodacom Tanzania Ezekiel Nungwi,akitoa maelezo ya huduma za fedha kupitia mtandao huo wakati wa  mkutano wa huduma za kifedha kupitia simu za mkononi (Mobile Money Summit) ulioanza jijini Dar es Salaam jana.
Baadhi ya washiriki wa mkutano wa huduma za kifedha kupitia simu za mkononi (Mobile Money Summit) ulioanza jijini Dar es Salaam jana,wakiangalia vipeperushi kwenye banda la Vodacom Tanzania.
Mfanyakazi wa Vodacom Irene Salim(kushoto) akitoa maelezo ya simu za mkononi kwa washiriki wa mkutano wa huduma za kifedha kupitia simu za mkononi (Mobile Money Summit) ulioanza jijini Dar es Salaam jana,wa pili kushoto ni Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania Matina Nkurlu

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA