Kamanda wa Polisi kikosi cha usalama barabarani Tanzania,SACP Mohamed Mpinga Afunga mafunzo ya waendesha pikipiki yaliyofanyika chuo cha ufundi stadi-VETA Chang'ombe jijini Dar es Salaam


 
Mgeni rasmi,Kamanda wa Polisi kikosi cha usalama barabarani  Tanzania,SACP Mohamed Mpinga akimkabidhi cheti kwa mmoja wa wahitimu ya mafunzo ya waendesha piki piki yaliyofanyika chuo cha ufundi stadi-VETA Chang'ombe jijini jana.Vijana wapatao 301 kutoka Temeke walipewa vyeti 
Kamanda Mpinga akiongea na wahitimu, L to R ACP Missime RPC Temeke, Yakub Rajab TDA, Mkurugenzi manispaa temeke,M/kiti Bodi ya ushauri, Mkuu wa chuo cha VETA, ACP Kahatano Traffic Kuu.
Mkurugenzi Manispaa ya Temeke Mama Nyalile  akiwaasa bodaboda, L to R kamanda Mpinga, M/kiti wa  wa bodi ya ushauri ya chuo Nd. Marealle, Mkuu wa chuo cha VETA Nd. Ng'andu
Onyesho la Mishikaki ambapo waendesha piki piki hap wameapa kutopakia abiria zaidi ya mmoja.
 Wahitimu hao wakiserebuka kidogo
Wahitimu wa mafunzo ya uendeshaji boda boda wakifuatilia kwa makini yaliyokuwa yakijiri kwenye hafla hiyo.
Waendesha piki piki wakila kiapo cha utii.Picha zote na  Kamanda wa Polisi kikosi cha usalama barabarani  Tanzania,SACP Mohamed Mpinga - CO Traffic

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA