KAMPENI YA SIKU 16 ZA KUPINGA UNYANYASAJI WA KIJINSIA YAJA

 Mratibu wa Kitaifa wa Shirika la Wanawake katika Sheria na Maendeleo Afrika (WiLDAF), Dk. Judith Odunga akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam, kuhusu maandalizi ya Kampeni ya Siku 16 za Kupinga Ukatili wa Kijinsia Duniani. Kulia ni Mkurugenzi wa Kituo cha Msaada wa Sheria kwa Wanawake (WLAC), Theodosia Nshala. (PICHA NA RICHARD MWAIKENDA)
 Ofisa wa Programu wa WilDAF, Anna Kalaya akiafafanua jambo katika nmkutano huo
                                    Wanahabari wakiwa makini na kazi yao wakati wa mkutano huo

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA