KIM POULSEN AKIPIGA CHABO WAGANDA NA WAHABESHI NAMBOOLE

Kocha wa timu ya taifa ya Tanzania Bara, Kilimanjaro Stars, Mdenmark Kim Polusen (kulia) akishuhudia kwa makini mchezo wa Kundi A, kati ya Uganda na Ethiopia, Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA Tusker Kagame Uwanja wa Mandela, Namboole, Kampala, Uganda. Wengine kushoto kwake ni Michael Mukunza wa Executive Solutions, Waratibu wa udhamini wa Kilimanjaro Premium Lager kwa Stars na Kocha Msaidizi, Sylvester Marsh. (PICHA NA BONGOSTAZ BLOG)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA