4x4

KINANA AWA KATIBU MKUU WA CCM


MWENYEKITI WA CCM TAIFA, JAKAYA KIKWETE ATANGAZA SEKRETARIETI MPYA YA CCM, KINANA KATIBU MKUUAbdulrahman Kinana-Katibu Mkuu wa CCM, Taifa.
Mwigulu Nchemba-Naibu Katibu Mkuu (Bara)
Vuai Ali Vuai-Naibu Katibu Mkuu (Zanzibar)
Nape Nnauye, abakia katika Nafasi yake ya Katibu wa Itikadi na Uenezi.
Asha-Rose Migiro- Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa.
Zakia Meghji-Katibu wa NEC, Uchumi na Fedha.
Muhamed Seif Khatib, Katibu wa NEC, Oganaizesheni.
Post a Comment