KIVULE VETERAN ILIVYOIADHIRI TANGANYIKA INTERNATIONAL . SCHOOL

Mchezaji Hassan Saleh(wa pili kushoto) wa timu ya Kivule Veteran akiambaa na mpira huku akikabwa na Marcelino Ngalioma wa timu ya Veteran ya Shule ya Kimataifa ya Tanganyika katika mchezo wa kirafiki uliofanyika kwenye Uwanja wa shule hiyo, Masaki, Dar es Salaam jana. Kivule ilitoka kifua mbele kwa bao 1-0. (PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA)


Hussein Amir wa Tanganyika International School akimtoka Juma Nzae wa Kivule Veteran
Nestory Chambi  (kushoto) wa Tanganyika akigombea mpira na Hassan Saleh wa Kivule Veteran
Tanganyika wakiwa mapumziko
Benchi la ufundi la Kivule Veteran
Heka heka langoni kwa Kivule Veteran
Mlinda mlango wa Kivule Veteran, Jesse John akiwapanga vizuri mabeki wa timu yake
Marcelino Ngalioma wa Tanganyika akiwatoka wachezaji wa Kivule Veteran
Baadhi ya mashabiki wa Tanganyika wakiwa wamepigwa butwaa baada ya kufungwa na Kivule

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.