KIVULE VETERAN YAICHABANGA TBC1 MABAO 2-1

 Wachezaji wa timu ya Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC1) wakimbana mchezaji wa Kivule Veteran katika mchezo wa kirafiki uliofanyika kwenye Uwanja wa Shule ya Sekondari Misitu, Kivule, Ukonga, Dar es Salaam hivi karibuni. Kivule iliisambaratisha TBC1 MABAO 2-1. (PICHA ZOTE NA KAMANDA MWAIKENDA)
                                        Kikosi cha Kivule Veterani kilichocuana na TBC1
                                     Kikosi cha TBC1 kilichofungwa na Kivule Veteran
Mchezaji Nico Ngogo (kulia) wa Kivule Veterani akimtoka mchezaji wa TBC1 katika mtanange huo uliofanyika hivi kariabuni Kivule.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA