LUTENI JENERALI MSTAAFU ABDULRAHMANI SHIMBO AFANYIWA SHEREHE YA KUMUAGA LEO.

Luteni Jenerali Mstaafu Abdulrahmani Shimbo (aliyesimama kwenye gari) akisindikizwa na Maafisa na Askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) ikiwa ni kuhitimisha sherehe za kumuaga rasmi zilizofanyika leo kwenye kambi ya Jeshi hilo Mgulani jijini Dar es Salaam. Luteni Jenerali Mstaafu Shimbo amelitumikia Jesshi hilo kwa zaidi ya miaka 41 kwenye nyadhifa mbalimbali ikiwa ni pamoja na Ukuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) na Mnadhimu Mkuu wa Jeshi.
Askari wa kikosi Cha Bendera kutoka Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wakitoa heshima kwa mwendo wa haraka mbele ya Luteni Jenerali Mstaafu Abdulrahmani Shimbo (hayupo pichani) wakati wa sherehe za kumuaga zilizofanyika leo.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA