MAHAFALI YA TATU YA CHUO KIKUU CHA DODOMA YANAENDELEA KUFANYIKA CHUONI HAPO.

Wahitimu wa Chuo Kikuu cha Dodoma kitivo Cha Sayansi ya Jamii, Sanaa na Lugha cha Chuo hicho wakiwa kwenye harakati za kupiga picha na ndugu jamaa na marafiki kwaajili ya kuweka kumbukumbu kwenye mahafali ya tatu ya Chuo hicho yanayoendelea kufanyika Chuoni hapo, mchana huu kwenye viwanja hivyo vya Chimwaga.
Baadhi ya wanafunzi wa fani mbalimbali wakiwa kwenye maeneo ya majengo ya Chuo hicho kupiga picha za ukumbusho na wapendwa wao.
Harakati za hapa na pale kwenye viwanja vya Chimwaga leo

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA