MALAWI YAWAFUNGA KWA MBINDE ERITREA

Mshambuliaji wa Malawi, Rodrick Gonani akimtoka beki wa Eritrea, Yohannes Nega katika mchezo wa Kundi C, Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA Tusker Challenge, uliofanyika kwenye Uwanja wa Mandela, Namboole, Kampala, Uganda jioni hii. Malawi ilishinda 3-2, mabao ya Chiukepo Msowoya dakika ya nne, Miciam Mhone dakika ya 10 na Patrick Masanjala dakika ya 66, wakati ya Eritrea yalifungwa na Amir Hamad Omary dakika ya 72 na Yosief Ghide kwa penalti dakika ya 89.

Kocha wa Rwanda, Milutin Sredojevic ‘Micho’ akiwa na wasaidizi wake, Mugisha Ibrahim ambaye ni kocha wa makipa na Eric Nshimiyimana, ambaye ni Kocha Msaidizi, wakifuatilia mchezo wa Kundi C kati ya Malawi na Eritrea Uwanja wa Mandela, Namboole, Kampala, Uganda.

Kocha wa Tanzania, Kim Poulsen akiwa na Msaidizi wake, Sylvester Marsh wakifuatilia mchezo kati ya Rwanda na Malawi. Chini ni Ofisa Habari wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF). Chanzo; Bongo Staz Blog)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*