MANATSA NDIE BINGWA WA MICHUANI YA JOHNNIE WALKER WAITARA 2012

Mshindi wa jumla wa mashindano ya kuwania kombe la Johnnie Walker Waitara 2012 Sudson Manatsa akinyanyua juu vikombe vyake viwili alivyoshinda wakati wa Mashindano hayo yaliyofanyika mwishoni mwa wiki katika viwanja vya Gofu Lugalo jijini Dar es Salaam. Mashindano hayo yalidhaminiwa na Kampuni ya Bia ya Serengeti kupitia kinywaji chake kikali cha Johnnie Walker.
Mgeni rasimi wa Mashindano ya Johnnie Walker Waitara Trophy,  Mlezi wa Gofu nchini Kenya na Mkurugenzi wa ICEA LION, Dunkan Nderitu Ndengwa kutoka nchini Kenya  akimkabidhi zawadi Mshindi wa jumla wa mashindano ya kuwania kombe la Johnnie Walker Waitara 2012 Sudson Manatsa. Kampuni ya Bia ya Serengeti imedhamini mashindano hayo kupitia kinywaji chake cha Johnnie Walker.

Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) Stephen Gannon  akimkabidhi zawadi Mshindi wa pili wa  daraja A, Aidan Nziku  kikombe na zawadi nyingine baada ya kuibuka mshindi wa kundi hilo katika mashindano ya kuwania kombe la Johnnie Walker Waitara 2012. Kampuni ya Bia ya Serengeti imedhamini mashindano hayo kupitia kinywaji chake cha Johnnie Walker.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA