Inspekta wa Polisi, Said Mwema amefanya mabadiliko ya makanda wa jeshi hilo, ambapo aliyekuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Ernest Mangu ameteuliwa kuwa RPC Mwanza kuziba pengo la marehemu, Liberatus Barlow.
Pia amemhamisha Kamanda wa Polisi Mkoa wa Temeke, David Msime kuwa RPC Mkoa wa Dodoma kuchukua nafasi ya Zelothe Steven ambaye amestaafu kazi.
Pia amemhamisha Kamanda wa Polisi Mkoa wa Temeke, David Msime kuwa RPC Mkoa wa Dodoma kuchukua nafasi ya Zelothe Steven ambaye amestaafu kazi.
Comments