MARANDA NA FARIJALA WAHUKUMIWA KIFUNGO JELA

 Shaban Maranda na Farijala Hussein wakitoka katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo baada ya kuhukumiwa kifungo cha kwenda jela, ambapo Maranda amehukumiwa kifungo cha miaka miwili jela na Farijala miaka mitatu jela baada ya kupatikana na kosa la kughushi na kuisababishia serikali hasara ya sh. bilion 3.8. (Picha na Habari Mseto Blog)
Shaban Maranda na Farijala Hussein wakipanda karandika la Jeshi la Magereza kuendelea kutumikia vifungo vyao baada ya kuhukumiwa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam. Maranda amehukumiwa na mahakama hiyo kifungo cha miaka miwili na Farijala miaka mitatu baada ya kupatikana na kosa la kughushi na kuisababishia serikali hasara ya sh. bilion 3.8

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA