MATEMBEZI YA HISANI KUCHANGIA UJENZI WA MABWENI YA WASICHANI KUFANYIKA NOVEMBA 17

 Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Mheshimiwa Dkt Shukuru J. Kawambwa (Kulia) akiwa na Mkurugenzi wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA), Rosemary Lulabuka (Kushoto) alipokutana na waandishi wa habari kuzungumzia matembezi ya hisani ya kuchangia ujenzi wa hosteli za wasichana wa sekondari yanayotarajia kufanyika tarehe 17/11/2012.
 Mkurugenzi wa Mamlaka ya Elimu Tanzania Rosemary Lulabuka akiongea na waandishi wa habari juu ya matembezi ya hisani ambayo yanalenga kukusanya fedha kwa ajili ya ujenzi wa hosteli za wasichana wa shule za sekondar za kata.matembezi yatafanyika jumamosi tarehe 17 Novemba 2012.  Kuanzia Mlimani city.
 Mwanamuziki Barnabas akiongea na waandishi wa habari juu ya ushiriki wake katika kampeni na jinsi  atakavyochangia katika kampeni  ya ujenzi wa hosteli za wasichana.
Mabalozi wa hisani wa  kampeni ya kuchangia ujenzi wa hosteli za wasichana  wakiwa na Meneja wa mawasiliano wa TEA, Sylvia Lupembe Gunze (wa pili kutoka kushoto) na Msanii Barnaba katika picha ya pamoja mara baada ya mkutano wa Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi , Mh. Dr. Shukuru  Kawambwa na waandishi wa habari.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI