Mawaziri Dk Terezya Huvisa, Suluhu Hassan African watembelea miradi ya Wildlife Foundation (AWF), mkoani Arusha
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano Samia Suluhu Hassan na
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Dk Terezya Huvisa Wakiwa
katika Picha ya Pamoja na Wanafunzi wa Shule ya Msingi ya Manyara Ranch wakati
wa Kukagua Miradi Inayowezeshwa na asasi isiyo ya kiserekali [NGO]
ya African Wildlife Foundation (AWF) kwa ufadhili wa Serikali ya Marekani
kupitia shirika lake la maendeleo (USAID) Wilaya ya Munduli Mkoa wa Arusha
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muugano Samia Suluhu Hassan akiwasikiliza wanafunzi wa darasa la pili wa Shule ya Msingi ya Manyara Ranch wakati alipowatembelea katika Ziara ya Kukagua Miradi Inayawazeshwa na Asasi isiyo ya Kiserekali {NGO]y a African Wildlife Foundation (AWF) kwa Ufadhili wa Serikali ya Marekani kupitia shirika lake la Maendeleo [USAID] (Picha zote na Ali Meja)
Comments