Bi harusi akila pozi.
Wanandoa wapya Mr & Mrs Kilumanga.
Maharusi wakifungua mziki.
Mh Chabaka akimlisha mkewe Irene keki.
Bwana na Bibi Chabaka baada ya kufunga ndoa.
Wakati wa kuvishana pete.
Maharusi wakikabidhiwa cheti cha ndoa.
Familia mpya ya Mr & Mrs Chabaka Kilumanga.
Maharusi katika picha ya pamoja upande wa familia. Kutoka Kulia ni Mama wa Bwana harusi Kilumanga, Maharusi, Mama Irene na Dada wa bwana Harusi Marium.
---
Salam,

Urban Pulse Creative inawaletea taswira ya harusi ya Mh Naibu balozi wetu wa Uingereza Chabaka Kilumanga aliefunga ndoa  rasmi na mchumba wake Irene Joel siku ya jumamosi tarehe 24.11.12 hapa jijini London.  Ndugu, jamaa na warafiki walihudhuria sherehe hii ambayo ilifana sana.

Tunapenda kuwatakia kila la kheri katika safari yao mpya walioianza katika maisha ya ndoa. 

Mungu azidi kuwabariki,

Asanteni.

Urban Pulse Creative

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA