Waziri wa Uchukuzi Tanzania, Mheshimiwa Dr. Harrison G. Mwakyembe- (Mbunge), akihutubia kwenye Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Jumuiya ya Waingereza waliowahi kuishi nchini Tanzania (Britain Tanzania Society(BTS)). Mheshimiwa Waziri Mwakyembe alikuwa mgeni rasmi katika Mkutano huo wa Mwaka wa Taasisi hiyo ya BTS yenye kutoa misaada mingi kwa Tanzania, kama vile Vifaa vya kusomea, Ujenzi wa Shule, Vifaa vya Mahospitalini, uchimbaji wa Visima na kusaidia upatikanaji wa maji safi,misaada ya Kitaalam kwa Tanzania kwa ujumla.
 Watanzania na baadhi ya Wanachama wa Jumuiya ya BTS, wakizikiliza kwa Makini Hotuba iliyokuwa ikitolewa na mgeni rasmi Mheshimiwa Waziri Dr. Harrison Mwakyembe kwenye Mkutano mkuu wa Mwaka, siku ya jumamosi 10 Novemba 2012
Mheshimiwa Waziri Mwakyembe, Mheshimiwa Balozi wa Tanzania, London (Mhe. Peter Kallaghe), wakiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya Watanzania waliohudhuria kwenye mkutano wa Jumuiya ya BTS, siku ya jumamosi, terehe 10 Nov 2012, kwenye Ukumbi wa Westminster City Hall, London.Picha na Habari na Mr. A. Rashid Dilunga ICT - Manager-Tanzania High Commission to London

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*