MSANII KERI HILSON, KUTUA DESEMBA KUPIGA SHOO TANZANIA NA KENYA


NEW YORK, Marekani

MSANII kutoka jijini New York, Keri Hilson, anayetamba na nyimbo zake kali kama ‘That way you love me’, ‘Pretty girl Rock’ na ngoma nyingine, anatarajia kutua nchini hivi karibuni kwa ajili ya kudondosha bonge la Shoo, ambapo pia atamalizia shaoo yake nchini Kenya, Imeelezwa.

Taarifa hizo zimetolewa na Msanii huyo katika ukurasa wake wa Mtandao wa Kijamii wa Twitter, ambapo ameweka wazi kuwa anatarajia kuwasili nchini mwezi ujao wa Desemba, ambapo amesema kuwa hiyo itakuwa ni mara yake ya kwanza kufanya Shoo katika Nchi za Afrika Mashariki hususan kwa nchi kama Tanzania na Kenya.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA