Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea hati za utambulisho toka kwa Balozi wa Iran nchini Mhe Mehdi Agha Jafari leo Novemba 21, 2012 Ikulu jijini Dar es salaam.

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na  Balozi wa Iran nchini Mhe Mehdi Agha Jafari baada ya kupokea hati zake za utambulisho leo Novemba 21, 2012 Ikulu jijini Dar es s
Salaam.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea hati za utambulisho toka kwa Balozi wa Canada nchini Mhe Alexandre Leveque leo Novemba 21, 2012 Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Canada nchini Mhe Alexandre Leveque  leo Novemba 21, 2012 Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Balozi wa Canada nchini Mhe Alexandre Leveque baada ya kupokea hati zake za utambulisho leo Novemba 21, 2012 Ikulu jijini Dar es salaam.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na  Balozi wa Iran nchini Mhe Mehdi Agha Jafari baada ya kupokea hati zake za utambulisho leo Novemba 21, 2012 Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea ujumbe maalumu toka kwa Rais Ali Bongo wa Gabon uliowasilishwa leo na Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko Maalumu  wa Uwekezaji wa nchi hiyo Bw. Serge Mickoto  leo Novemba 21, 2012 Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipitia ujumbe maalumu toka kwa Rais Ali Bongo wa Gabon leo Novemba 21, 2012 Ikulu jijini Dar es Salaam uliowasilishwa  na Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko Maalumu  wa Uwekezaji wa nchi hiyo Bw. Serge Mickoto   leo Novemba 21, 2012 Ikulu jijini Dar es

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA