RAIS KIKWETE APONGEZWA NA CCM MKOA WA DODOMA, ATEMBELEA MRADI WA ZABIBU

Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia umati wa wana CCM wa mkoa wa Dodoma walioandaa hafla ya kumpongeza kwa ushindi wa kishindo katika uchaguzi mkuu wa CCM. Hafla hii imefanyika makao makuu ya CCM Dodoma.
Meza kuu ikifurahia wimbo wa kuisifu CCM kwenye hafla hiyo.
umati wa wana CCM wa mkoa wa Dodoma walioandaa hafla ya kumpongeza Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete kwa ushindi wa kishindo katika uchaguzi mkuu wa CCM.
Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongozana na viongozi wengine wakati alopotembelea Mradi wa Zabibu,Mjini Dodoma.PICHA NA IKULU

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA