RAIS WA ZANZIBAR AONDOKA NCHINI KUELEKEA VIETNAM KIKAZI.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akiagana na Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad, pamoja na Viongozi wengine wa Vyama na Serikali, kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar leo, akielekea Nchini Vietnam kwa ziara rasmi ya Kiserikali, katika ziara hiyo Rais amefuatana na Mkewe Mama Mwanamwema Shein, pamoja na Mawaziri na Maofisa  mbali mbali.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Mkewe Mama Mwanamwema Shein,wakiagana na wazee  vyama vya siasa na Maofisa mbali mbali wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar,katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar,akielekea Nchini Vietnam kwa ziara rasmi ya Kiserikali.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA