ROTARY DAR ES SALAAM MZIZIMA YAKABIDHI TUZO KWA PROF. GEOFFREY MMARI

 Rais wa Klabu ya Rotary ya Dar es Salaam Mzizima, Ambrose Nshala (kulia) akikabidhi cheti kwa  Makamu Mkuu wa  Chuo Kikuu cha Tumaini Dar es Salaam, Prof. Geoffrey Mmari, kilichotolewa na klabu hiyo kwa kutambua mchango wake katika Maendeleo ya Jamii nchini Tanzania katika Nyanja ya Elimu. Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam leo.
 Rais Wa Klabu ya Rotary ya Dar es Salaam Mzizima, Ambrose Nshala (kulia) akibadilishana mawazo na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Tumaini Dar es Salaam, Prof. Geoffrey Mmari katika hafla ya kutunuku Tuzo ya Rotary kwa kutambua mchango wake katika Maendeleo ya Jamii nchini Tanzania katika Nyanja ya Elimu. Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam.
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu  cha Tumaini Dar es Salaam, Prof. Geoffrey Mmari (wa pili kulia), akisalimiana na baadhi ya wanachama wa Klabu ya Rotary ya Dar es Salaam Mzizima katika hafla ambayo klabu hiyo ilimtunuku Tuzo  Tuzo ya Rotary ya kutambua mchango wake katika Maendeleo ya Jamii nchini Tanzania katika Nyanja ya Elimu. Kulia ni Rais wa klabu hiyo, Ambrose Nshala.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA