SHARO MILIONEA APATA MAZIKO YA KIHISTORIA

 Baadhi ya wakazi wa Tanga, wakiwa wamepanda juu ya mnazi ili washuhudie vizuri maziko ya aliyekuwa mwigizaji maarufu na mwanamuziki wa kizazi kipya marehemu Hussein Ramadhan Sharo Milionea yaliyofanyika nyumbani kwao Lusanga, wilayani Muheza,  Tanga
 Mwakilishi wa Rais Jakaya Kikwete, Katibu wa Sekretarieti Itikadi na Uenezi wa Chama Chama Cha Mapinduzi, Nape Nnauye (wa nne kulia), akiungana na waombolezaji kubeba jeneza la mwili wa Sharo Milionea  wakati wa maziko.
 Mmoja wa waombolezaji akiwa amebebwa baada ya kuzimia katika msiba huo.
 1. Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM,Nape Nnauye akimpa pole Zaina Mkieli Mama wa Hussein Ramadhani, Sharo Milionea, Kijiji cha Lusanga, Muheza Tanga
                                                                              Mwili ukisaliwa
                                          King Majuto akiweka udongo kwenye kaburi la Sharo
 9. Mwana FA akitoa salam kwa niaba ya Wanamuziki wa Bongo fleva, wakati wa mazishi ya msanii Hussein Ramadhan 'Sharo Milionea; yaliyofanyika Lusanga, Muheza Tanga
 Baadhi ya wasanii wakiwa kwenye msiba


Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA