SHEREHE YA KUFUNGA MAONYESHO YA MOWE 2012 KATIKA VIWANJA VYA MNAZI MMOJA JIJINI DAR.


Mkurugenzi wa Shirika la kazi nchini Tanzania (ILO) Bw. Alexio Musindo akitoa hotuba yake siku ya kufunga maonyesho ya wajasiria mali MOWE 2012 yaliyokuwa yakifanyika katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.

Balozi wa Malawi nchini Tanzania Bi. Flossie Gomile Chidyaonga akitoa hotuba yake kwa wajasiria mali wa MOWE 2012.
Msichana Mjasiriamali akipokea cheti cha ushiriki wa MOWE 2012 toka kwa Balozi wa Malawi Bi. Flossie Gomile Chidyaonga (kushoto). Katikati ni Mwenyekiti wa Taasisi ya MOWE Bi. Elihaika Mrema.
Mkurugenzi wa ILO nchini Bw. Alexio Musindo (kulia) na Bi. Teddy Rucho wakipokea cheti cha ushiriki toka kwa balozi wa Malawi katika sherehe za ufungaji wa maonyesho ya wajasiriamali MOWE 2012.
Balozi wa Malawi Tanzania Bi. Flossie Gomile Chidyaonga (kushoto), Mkurugenzi wa ILO nchini Bw. Alexio Musindo sambamba na Mwenyekiti wa MOWE Bi. Elihaika Mrema (katikati) wakiangalia bidhaa zitokanazo na Mti wa Mbuyu wakati wa sherehe za ufungaji wa maonyesho ya Wanawake Wajasiriamali MOWE 2012 yaliyomalizika hivi karibuni katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar.
Balozi akitembea banda la ILO katika maonyesho ya MOWE 2012.
Balozi wa Malawi akipata maelezo toka kwa team ya ILO walioandaa maonyesho ya MOWE kwa kushirikiana na Taasisi ya WAMA.
Balozi wa Malawi na Mkurugenzi wa ILO nchini wakinunua mifuko maalumu ya kuhifazia Laptops na iPad iliyotengenezwa kwa ubunifu mkubwa kwa kutumia malighafi ya Tanzania Kitenge toka kwa Mwanamke Mjasiria mali wa MOWE 2012 katika maonyesho hayo.
Bwana Pius Mikongoti wa GS1 akitoa Mada kuhusu Barcode kwa washiriki wa MOWE 2012.
Picha ya Pamoja Kamati ya MOWE na wageni rasmi siku ya kufunga maenyesho ya MOWE 201

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*