SHEREHE ZA KUPONGEZA SAFU MPYA YA UONGOZI WA CCM TAIFA ZAFANA ZANZIBAR


Hivi ndivyo kina mama wengi waliohudhuria sherehe za kupongeza safu mpya ya uongozi wa CCM Taifa, waliovyokuwa wamejinakshi, kwenye Viwanja vya Kibanda maiti, Zanzibar
Makamu Mwenyekiti wa CCM, Zanzibar, Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein akiwasili kwenye viwanja vya Kibandamaiti mjini Zanzibar kuongoza sherehe hizo. Kulia ni Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana na Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu (Zanzibar) Vuai Ali Vuai
Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara), Dk. Ali Mohamed Sheni akimsalimia Mwenyekiti wa CCM mkoa wa  Mjini Silima Borafya baada ya kuwasili kwenye sherehe hizo
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana ambaye alitangulia kuwasili kwenye Viwanja vya Kibanda maiti, kabla ya Dk. Sheni, akiingia kwenye Viwanja hivyo. Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu (Bara) Mwigulu Nchemba, Naibu Katibu Mkuu (Zanzibar) Vuai Ali Vuai na Katibu wa NEC, Itikasi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye.

Kinana akimsalimia Mjumbe wa Shamshi Vuai Nahodha kwenye sherehe hizo
Makamu Mwenyekiyi wa CCM (Bara) Dk. Shein akihutubia maelfu ya wananchi katika sherehe hiyo
Wana-CCM waliofurika kwenye sherehe hiyo wakimsikiliza kwa makini Dk. Shein wakati akihutubia

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*