SUPER D AENDELEA KUTOA MAFUNZO YA MCHEZO WA MASUMBWI BURE KWA VIJANA



Kocha wa Kimataifa wa Mchezo wa Masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' akimwelekeza bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' jinsi yakupangua ngumi za mpinzani wakati wa mazoezi yaliyofanyika ufukwe wa GYKHANA Dar es salaam jana Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

Kocha wa Kimataifa wa Mchezo wa Masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' akimwelekeza bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' jinsi kupiga ngumi za tumbo huku akiwa ameingia ndani kwa mashambulizi zaidi wakati wa mazoezi yaliyofanyika ufukwe wa GYKHANA Dar es salaam jana Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

Kocha wa Kimataifa wa Mchezo wa Masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' akiwaelekeza vijana waliojitokeza katika mazoezi jinsi ya kupiga ngumi za tumbo na kuingia ndani kwa mashambulizi zaidi Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA