TAIFA STARS YAINYUKA HARAMBEE STARS 1-0 CCM KIRUMBA

TIMU ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, leo imeibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Harambee Stars, ya Kenya katika mchezo wa kirafiki wa Kimataifa uliomalizika hivi punde katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza. 
 
Bao la Stars, limefungwa mapema tu katika dakika ya 5 na sekunde kadhaa kipindi cha kwanza na Agrey Moris, na kufanya timu hizo zikienda mapumziko Stars ikiwa mbele matokeo yaliyodumu hadi kumalizika kwa mchezo huo.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA