TANESCO MKOA WA TEMEKE WAKATAMATA WATU WALIO JIUNGIA UMEME KWA KUTUMIA VISHOKA HIVYO KUHATARISHA MAISHA YA WATU
Meneja wa Tanesco mkoa wa temeke Eng Richard
Malamia akiwa na plani ofisa wake Ceslia Msangi wakiangalia nguzo ambayo haina
sifa ya kusambazia umeme ambayo imewekwa na vishoka katika maeneo ya mbagala
chamazi kwamusoma eng Malamia alifanya ukaguzi katika maeneo ya mbagala
akishirikiana na watalamu wake baada yakupata malamiko yakuwepo kwa upungufu wa
umeme katika maeneo ya chamazi hivyo alibaini kulikuwepo na watu walio
jiunganishia umeme visivyo halali. Picha na Chris Mfinanga
Comments