TANZANIA IKO TAYARI KUPELEKA JESHI DRC CONGO KUWAFURUMUSHA WAASI WA M23

 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, Kuhusu Serikali ya Tanzania kulaani kitendo cha Waasi wa M23 kuteka Mji wa Goma katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo. Pia Tanzania iko tayari kupeleka jeshi nchini  Congo kulisaidia Jeshi la nchi hiyo kuwafurumusha waasi hao. Kulia ni Katibu Mkuu wa wizara hiyo, John Haule. (PICHA NA RICHARD MWAIKENDA)
Wanahabari wakiwa makini na kazi yao wakati wa mkutano huo

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA