TCRA YADHAMINI MKUTANO WA KIMATAIFA WA NAMBA MOJA YA SIMU INAYOMWEZESHA MTEJA KUHAMA NAO KWENDA MTANDAO MWINGINE

 Waziri wa Sayansi, Teknolojia na Mawasiliano, Profesa Makame Mnyaa Mbarawa (wa tatu kushoto waliokaa) akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa mkutano wa kimataifa wa wadau wa mawasiliano wa kujadili mfumo wa namba moja ya simu kutumika kwenye mitandao yote, Dar es Salaam.Kulia kwake ni  Profesa John Nkoma wa Mkurugenzi Mkuu wa TCRA wadhamini wa mkutano huo.
 Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Profesa John Nkoma (kushoto), akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, kuhusu manufaa ya mfumo huo kwa mteja.
 Mkurugenzi wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA),  Mhandisi Joseph Kilongola (kushoto) akifafanua jambo wakati wa mkutano wa kujadili mfumo huo, Dar es Salaam leo. Kulia ni Mwenyekiti wa mkutano huo.Robert Palitz.
 Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Profesa John Nkoma (kushoto) akijadiliana jambo na Waziri wa Sayansi Teknolojia na Mawasiliano, Profesa Makame Mnyaa Mbarawa wakati wa mkutano kimataifa wa wadau wa mawasiliano wa kujadili mfumo wa namba moja ya simu kutumika kwenye mitandao yote, Dar es Salaam . PICHA ZOTE NA KAMANDA RICHARD MWAIKENDA)
 Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Profesa John Nkoma (kulia) akijadiliana jambo na Robert Palitz kutoka Marekani ambaye ni Mwenyekiti wa mkutano kimataifa wa wadau wa mawasiliano wa kujadili mfumo wa namba moja ya simu kutumika kwenye mitandao yote, Dar es Salaam
 Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania, Innocent Mungy  (kulia) akiwa katika mkutano huo.
                                       Baadhi ya wadau wakiwa katika mkutano huo

 Mkuu wa Biashara ya Nje wa Tigo, Brian Karokla akiuliza swali wakati wa mkutano huo.
Meneja Mwandamizi Msimamizi wa Mambo ya Nje wa Kampuni ya Zantel,  Thys Kazad akiuliza mswali kutaka kujua zaidi juu ya mfumo wa namba moja, unaomwezesha mteja kuhama na namba yake ya simu kwenda mtandao mwingine.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI