TIGO YAWAZAWADIA WASHINDI 42 WA DROO YA SMARTCARD


 Meneja wa Kutengeneza Ofa za Intaneti za Kampuni ya Tigo, David Sekwao (kushoto) akibofya kwenye kompyuta kupata mmoja wa washindi 42 wa droo ya pili ya Smartcard, Dar es Salaam. Anayeshuhudia kulia ni Mkaguzi Mwandamizi wa Bodi ya Taifa ya Kusimamia Michezo ya Kubahatisha nchini, Abdallah Hemed. (PICHA NA RICHARD MWAIKENDA)

Titus Kafuma akifafanua jambo wakati wa mkutano na waandishi wa habari, baada ya droo kufanyika. Kulia ni Ofisa Uhusiano wa Tigo, Tully Mwaikenda

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA