TIGO YAWAZAWADIA WASHINDI WA TIGO REACH FOR CHANGE

 Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Tigo, Andrew Hodgson (Kushoto) akiwa na washindi watatu wa shindano la Tigo Reach For Change,  Brenda Shuma, Nyabange Chirimi na Thadei Msumanje baada ya kuwakabidhi zawadi zao, Dar es Salaam, Kulia ni Mkurugenzi wa Reach For Change,  Sarah Damber. (PICHA NA RICHARD MWAIKENDA)

 Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Tigo, Andrew Hodgson (Kushoto) akiwa na mmoja wa wajasiliamali aliyeshinda shindano la Tigo Reach For Change, Bi. Brenda D. Shuma pamoja na Mkurugenzi wa Reach For Change Sarah Damber.
  Mmoja wa wajasiliamali aliyeshinda shindano la Tigo Reach For Change, Bi. Brenda D. Shuma akielezea jambo kwa waandishi wa Habari.
  Meneja wa Tigo, kitengo cha huduma za Jamii Woinde Sishael akifafanua jambo
Wadau wakifuatilia kwa umakini.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA