TUKIO KAMILI: BASI LA ABOOD NAMBA T 545 AZE LA KUTOKEA DAR KWENDA TUNDUMA LAPATA AJALI MAENEO YA SAE(MBILINYI) BAADA YA KUGONGANA NA KENTA LILILO SABABISHA AJALI HIYO, MMOJA AFARIKI HAPO HAPO!
Hivi
ndivyo basi La Abood lilivyo pata ajali baada ya kugongana na Kenta
Basi la
Abood
Hivi
ndivyo Basi Lilivyo Haribika
Haya ni
mambaki ya Vioo vilivyo vunjika
Baadhi
ya vitu vikiwa vimemwagika chini
Hili ni
Scania ambalo lilikuwa likitokea Zambia
Dirisha
likiwa limevunjika
Baadhi ya
Abiria wakiwa wanapata maelekezo kutoka kwa polisi
Hapa
ndipo basi la Abbod lilipo gonga
*********************
BASI LA
ABOOD LENYE USAJILI WA NAMBA T 545 AZE LIMEPATA AJALI MAENEO YA SAE SEHEMU
MAARUFU KWA JINA LA KWA MBILINYI LIKITOKEA DAR ES SALAAM KUELEKEA TUNDUMA.
AJALI HIYO IMETOKEA BAADA YA LORI LA MIZIGO AINA YA SCANIA LIKIWA LIMETOKEA
ZAMBIA KUELEKEA DAR WAKATI WA KUTAKA KUPISHANA NA BASI HILO, NA NDIPO GARI AINA
YA KENTA IKAJITOKEZA NA KUJICHOMEKA BARABARANI NA KUSABABISHA AJALI
HIYO.
KATIKA
AJALI HIYO MTU MMOJA AMBAYE ANAITWA CHALE KITELEKE AMBAYE PIA ALIKUWA NDIYE
KONDA WA BASI HILO AMEFARIKI PAPO HAPO, PAMOJA NA MAJERUHI NANE AMBAO
WAMEKIMBIZWA HOSPITALINI .
MPAKA
TONE MEDIA LIVE GROUP AMBAO NI WAMILIKI WA MTANDAO HUU TUNATOKA ENEO LATUKIO
HIZO NDIZO TAARIFA TUMEFANIKIWA KUZIPATA.
Comments