UZINDUZI WA WINDHOEK PREMIUM LAGER EXTRA BONGO WAZEE WA KIZIGO WAFUNIKA, Waacha gumzo Mbagala.

Mwanamuziki wa bendi ya Extra Bongo Banza Stone akifanya kile kinachohitajika na mashabiki huku akiwa na wanenguaji wa bendi hiyo.
Alichoki akifanya makamuzi kwenye kinanda wakati waliposhushaburudani kwenye uzinduzi huo.
Mashabiki wa Bendi hiyo nao walifuatgilia kwa karibu buruidani iliyokuwa akiporomoshwa na bendi hiyo.
Wanenguaji nao waliburudisha kiukweli hakukua na mchezo kwenye uzinduzi huo.
Mashabiki wa Banza nao walishindwa kutulia kwenye viti na kupanda jukwaani.
Hapo sasaaaaaa

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA