Wadau waendelea kutoa msaada kwa mtoto Aneth,ambaye alikatwa mkono kwa kuchomwa !‏


Mdau akikabidhi zawadi au msaada wa nguo kwa mtoto Aneth, ambapo zilipokelewa na mama yake mzazi, mdau Claudia Haule akimpa pole mtoto Aneth na pia mama yake kwa kuuguza, ambapo pia jamii ya watanzania wameombwa kutoa misaada ya hali na mali kwa mtoto huyu katika kipindi hiki kigumu!

Picha na Mdau Mbeya yetu Blog
4

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA