WANAVYUO NACHINGWEA WAPEWA SOMO NA NHIF

Fursa ya kuuliza maswali na kutoa maoni yanayohusu changamoto na maboresho katika NHIF na CHF yalitolewa,pichani ni Ally Ngilima mwanachuo wa mwaka wa kwanza chuo cha ualimu Nachingwea akitoa maoni.
 Mwakilishi wa  NHIF na CHF Lindi Fortunata Kullaya akitoa elimu na  uhamasishaji kwa wanachuo wa chuo cha ualimu Nachingwea kufahamu umuhimu wa kujiunga na Mfuko.


Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA