WATEJA WA TIGO PESA KUZAWADIWA MUDA WA MAONGEZI

Meneja Mauzo na Usambazaji wa Kitengo cha Tigo Pesa cha Kampuni ya Tigo, Goodluck Charles akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari, Dar es Salaam, kuhusu uzinduzi wa promosheni itakayomuwezesha mteja atakayetuma fedha kwa Tigo Pesa na kuzawadiwa muda wa maongezi. Kulia ni Ofisa Uhusiano wa kampuni hiyo, Tully Mwaikenda. (PICHA NA RICHARD MWAIKENDA)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA