WAZIRI MWAKYEMBE AFANYA ZIARA YA KUSHITUKIZA TRENI YA ABIRIA DAR

 Waziri wa Uchukuzi, Dk. Harrison Mwakyembe (aliyevaa pama katikati) akihojiana na abiria alipofanya ukaguzi ywa kushitukiza katika Stesheni ya TRL, Dar es Salaam leo kujionea matatizo yaliyojitokeza baada ya usafiri wa abiria jijini  kuanzishwa wiki hii.
 Mwakyembe akitoa maelekezo
Waziri wa Uchukuzi Dk.Harrison Mwakyembe (kushoto),akimwelekeza jambo Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Reli Tanzania (TRL), Mhandisi Kipallo Kisamfu, wakati alipofanya ziara ya kushitukiza Stesheni ya Reli hiyo Dar es Salaam leo jioni, kujionea changamoto zilizopo baada ya kuanza kwa safari za treni hiyo ya abiria kutoka katikati ya Jiji hadi Ubungo Maziwa.(PICHA NA DOTTO MWAIBALAE)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA