Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais Mhe. Fatma Abdulhabib Ferej akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Idara ya Mazingira Zanzibar Sheha Mjaja Juma kuhusiana na hatua iliyofikiwa juu ya mradi wa maji safi na salama katika Shehia ya Kilimani Jimbo la Nungwi.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais Mhe. Fatma Abdulhabib Ferej akikabidhi vifaa vya usafi kwa vikundi vya mazingira kutoka maeneo tofauti huko Idara ya Mazingira Maruhubi.Picha, Ali Hamad-Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA