ZIARA YA MABALOZI WA UMOJA WA ULAYA BANDARINI JIJINI DAR ES SALAAM.

Meneja Uendeshaji wa Mamlako ya Bandari Tanzania (TPA) Patrick Namahuta, akiwapa maelezo ya namna bandari inavyofanyakazi mabalozi wa umoja wa Ulaya wakati walipotembelea bandari hiyo jana wakiongozwa na waziri wa Uchukuzi Dk. Aharrison Mwakyembe.
Mabalozi wakiwa pamoja na wawakilishi wa wafanyabiashara wakiwa kwenye jengo la kupumzikia abiria wa usafiri wa meli wa kwenda Zanzibar kwa kampuni ya Azam Marine.
Waziri Mwakyembe akiuliza maswali na kupata maelezo kwenye mashine maalum ya kukagua tiketi.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA