NMB YATOA MADAWATI SHULE YA MSINGI MWANANYAMALA KISIWANI

 Wanafunzi wa Shule ya Msingi Mwananyamala Kisiwani wakiangalia madawati waliyokabidhiwa na benki ya NMB
 Menejawa NMB tawi la NMB House Benedictor Byabato akimkabizi Madawati yenye thamani ya shilingi Milioni Tano mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Mwananyamala Kisiwani, Method Rugambarara. Madawati hayo ambayo benki ya NMB imeyatoa ili kupunguza uhaba wa madawati unaoikabiri shule hiyo .Makabidhiano hayo yalifanyika katika viwanja vya shule hiyo jijini Dar esalaam.

Wanafunziwa Shule Msingi, Ubungo Kisiwani wakiwa wamekaa kwenye madawati yaliyotolewa na benki ya NMB.

Na Mwandishi Wetu

NMB imekuamsatari wa mbele kutatua matatizo yanayooikumba jamii na hili inadhiirishwa na misaada mbalimbali ambayo inatolewa na benki hii kwa wahitaji tofauti tofauti. Hakuna asie jua miundombinu ya shule zetu za msingi hata sekondari jinsi ilivyo. Kwa kulitambua hili Benkiya NMB imekua mstari wa mbele kutatua tatizo la madawati kwa shule hizi .Hivi karibuni Shule ya msingi Mwananyamala Kisiwani jijini Dar es salaam ilipata neema hiyo ingawa bado mahitaji ni makubwa,

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*